NEKEZAMauzo · Stock · Team
NEKEZA
Download App Ingia Customer Care
Privacy Terms Kuhusu
Android App

Pakua NEKEZA

Sakinisha app kwenye simu yako. Simamia mauzo, stock na team yako kwa urahisi.

APK · Android

Pakua sasa

Bofya kitufe kupakua faili ya app (.apk).

Pakua APK (Android)

Baada ya kupakua → fungua faili → Install.
Ikiwa imezuiwa: Settings → Security → Install unknown apps → ruhusu browser.

Jinsi ya kusakinisha

  1. 1Bofya Pakua APK.
  2. 2Fungua faili iliyopakuliwa (Notifications au Files).
  3. 3Bofya Install.
  4. 4Fungua NEKEZA kwenye Home Screen.

iPhone / iPad

APK haifanyi kazi kwenye iPhone. Tumia Safari:

  1. 1Fungua app hii kwa Safari.
  2. 2Bofya Share.
  3. 3Chagua Add to Home Screen.
Rudi Mwanzo